Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, katika masuala ya usafi na najisi, mojawapo ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni kuhusiana na hukumu ya mvuke unaotokana na najisi na kioevu kinachotokana nayo, Ayatullah Khamenei amejibu swali hili, na jibu linawasilishwa mbele yenu kama ifuatavyo.
Swali:
Hukumu ya mvuke wa kitu chenye najisi ni ipi? Ikiwa mvuke huo ukageuka na kuwa kioevu, je, kioevu hicho kitakacho patikana ni najisi?
Jawabu:
Kitakuwa safi.
Maoni yako